FASIHI ANDISHI-KWA KIDATO CHA TATU NA NNE.
By
SINYATIBLOG
On
September 22, 2020
In
Kiswahili
Mwalimu wa Kiswahili1.Fasihi hubeba yote anayoibusha binadamu katika maisha yake ya kila siku.Jadili kauli hii kwa mifano- Maudhui (Dhamira)2.Fasihi hubeba yote anayoibusha binadamu katika maisha yake ya kila siku.Jadili kauli hii kwa mifano- Maudhui (Dhamira)3.Jadili vipengele viwili vya fani na vitatu vya maudhui vilivyojadiliwa katika riwaya uliyosoma.(Fani na maudhui)4.Ujumbe wa Tamthiliya ya...