Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, January 30, 2013

Nafasi ya kazi ya Secretary

By On January 30, 2013
SECRETARY ANATAFUTWA Chuo cha Fountain kilichopo Arusha sakina kinatafuta karani mwenye sifa zifuatazo:  awe amesomea kozi ya Ukarani            Elimu kidato cha nne na sita au kuendelea.piga simu zilizopo katika tangazo la chuo hapo juu               ...

Saturday, January 19, 2013

Historia ya lugha ya kiswahili

By On January 19, 2013
 HISTORIA YA LUGHA YA KISWAHILI.Kiswahili ni lugha ambayo inawekwa katika kundi la lugha za Kibantu. Neno “Swahili” linatokana  na neno la Kiarabu “sahel” linalomaanisha “sawahil” na katika Kiswahili ni “mpaka” au “pwani”(linalotumika kama kivumishi kumaanisha “wakazi wa pwani”. Kuongeza kwa herufi mbili za “ki” [‘lugha’] kupata “Kiswahili” kumaanisha “lugha ya pwani”. Wakati mwingine, neno...

Bongo flava na historia yake

By On January 19, 2013
Historia fupi ya muziki wa kizazi kipya   ulianzishwa na Wamerekani weusi huko the Bronx, New York Marekani mnamo mwaka 1970.Wamerekani wenye asili ya Afrika ,ambao babu zao walichukuliwa kwenda Marekani kama watumwa.Elementi hizi za utamaduni wa hiphop zilikuwa zikijitokeza kwa awamu moja  na inapofifia inaibuka nyingine ,ilivyo ni kwamba ilianza grafiti ikafuatwa na udijei,mabreka,halafu...

Pants on the ground/ijue historia ya uvaaji wa milegezo

By On January 19, 2013
Ijue historia ya uvaaji wa milegezo kinadada tujirekebishe wengi wenu hata mambo yetu yale huwa mnayaonyesha(shanga na cheni za kiunoni)   Ninayofuraha kubwa leo katika safu hii ya urembo kuzungumzia suala hili la uvaaji wa milegezo kwa vijana wetu wa kiafrika.Nimeandika mada hii Kutokana na wasomaji  kuomba  sana makala hii,tunaambiwa kuwa uvaaji wa mwanaume au...

Tuesday, January 15, 2013

FORM FOUR 2013 result ,THE FOUNTAIN JUSTICE COLLEGE ARUSHA

By On January 15, 2013
v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu