Yafahamu maneno machache ya kisheng hutumika sana kenya ingawa hapa bongo kunawatu hutumia baadhi ya haya maneno.
maneno haya baadhi ya vijana mtaani pia wanayatumia kama lugha ya mficho.
NDULA -KIATU
NDIMU -HASIRA
NDECHU -GOLD
RIBA -HADITHI
KUNG'ORA -KUANGUKA
MA-OCAMPO -POLISI
MANGA -KULA
KAWA -KAMA KAWAIDA
TUWA -WATU
TEKI -IBA
MATOPE -KUONGEA VIBAYA
PUNJU - MTU MJINGA
FINE THANK YOU - MANZI AMEIVA
KASHESHE - SHIDA
MAYOLO -SHORCUT
NITAWAKICHE -NITAWACHEKI
KANJA -LIPA
KUBEAT -KUCHOKA
FIX -UWONGO
SUNDA -FICHA
KONKODI -CONDUCTOR
KA-SODIUM -CHUMVI
PROMO -KUJIDAI
WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE ZASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA KILIMO
DODOMA
-
Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake zinashiriki Katika Maonesho
ya Kimataifa ya Kilimo ambayo yameanza Tarehe 1 Agosti Katika Viwanja
Nzug...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment