Enter your keyword

Culture for Life.

Sunday, June 30, 2013

Sherehe ya Wafanyakazi wa Sahara Media Group (Star TV,Kiss FM,Radio Free Africa) Arusha.

By On June 30, 2013
Wafanyakazi wa Sahara Media Group,Seleman,Raymond,Fatma,Vaileth,Iddi(Mpem...

Monday, June 17, 2013

Maafa ya Mlipuko wa Bomu lililotokea trh15/6/2013 yanaendelea kwenye Viwanja vya SOWETO Jijini Arusha leo.

By On June 17, 2013
Mbunge wa Arusha Mjini  Mh.Godbless Lema (kushoto) na Mwenyekiti wa Taifa  wa CHADEMA (Kulia) MH.Freeman Mbowe,wakiungana na Waombolezaji  kwaajili ya Maafa ya Mlipuko wa  Bomu Arusha Lililotokea tarehe 15/06/2013.Mpaka sasa wamekufa watu wanne(4) na Majeruhi sitini na nane(...

Saturday, June 15, 2013

Glory Stephen Miss Redd's Arusha 2013

By On June 15, 2013
 Mrembo wa taji la Redd's Miss Arusha Glory Stephen  (katikati) akiwapungia watazamaji walongia kufuatilia mashindano hayo  baada ya kutangazwa mshindi nafasi ya pili  ni Nance Mushi  Mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Faustin Mwandago akiwa anawapongez warembo walioshinda katika shindano Faustin Mwandago  Mwandaaji ...

Thursday, June 13, 2013

Bidhaa/Dawa ambazo Mwanamke Hupaswi Kutumia

By On June 13, 2013
BIDHAA TANO AMBAZO HUPASWI KUTUMIA KAMA MWANAMKE NADHIFU. 1.DAWA ZA KUKAZA UKE:baadhi ya wanawake wanatumia dawa hizi ilikupunguza ukubwa wa uke wengine udanganywa kuwa zinardisha bikra si kweli,endapo utatumia dawa hizi utafanya uke wako kuwa mkavu na hupelekea kupata mangonywa nyemelezi au mambukizi kwa haraka.kama mwanamke usitumie dawa hizi ukishindwa tumia zoezi alilofundisha Philomena...

Faida ya Kula Samaki

By On June 13, 2013
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Massage(Kukanda) Mwanaume.

By On June 13, 2013
Massage pic www.boracaymassagevegas.co Massage Picwww.products.mercola.com Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Pelvic Exercises(Mazoezi ya misuli ya Uzazi)

By On June 13, 2013
Mazoezi ya Mama mjamzito,mwanamke unayependa pia kufanya zoezi la PC, Image:www.mutusystem.com Image:www.positivehealth.com Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Dalili za Matatizo ya Hedhi.

By On June 13, 2013
Kabla ya kuingia kwenye siku zako za hedhi wanawake hupatwa na hofu na huwa wenye hasira,husumbuliwa na mfadhaiko wa akili, huumwa na kichwa,matiti hujaa maziwa,hukosa usingizi na kuvimba sehemu za siri,hali hii husababishwa na kukosekana kwa uwiano wa homoni (HOMONE IMBALANCE)na hali huweza kukomaa ndani ya saa 24..baada ya Hedhi. Wengi mnapata maumivu makali,siku mbili au Tatu kabla..au...

Namna ya Kujikinga na Mimba za Kushitukiza .

By On June 13, 2013
Njia ya asilia ni kumwaga nje (withdrawn), lakini hii unahitaji zaidi ushirikaino wa mpenzi wako, mawasiliano wakati wa tendo kwani akijisahau au kuchelewa ujue lazima utapata mimba. Mipira (Condoms) ndio kinga pekee inayozuia mimba na magonjwa yote ya ngono kwa asilimia 99 na ile moja iliyobaki ni kwa ajili ya sababu za kisheria kulinda Makampuni incase mtu akatumia vibaya na kushika mimba...

Jinsi ya Kumfurahisha Mpenzi Wako.

By On June 13, 2013
Nadhani kila mwanaume kuna vitu huwa anavipenda kwa mke wake, je? wewe huwa unafanya hivi? au  kufanyiwa? kabla ya kufanya haya hakikisha wote mko salama nikiwa na maana kuwa yeyote kati yenu asiwe na maambukizi ya magonjwa ya Zinaa ili mfanye tendo hili kwa usalama zaidi.  Ondoa Aibu Wakati wa Kufanya Mapenzi Wanaume wengi wanapendwa kunyonywa kama wanawake wengi wapendavyo kufanyiwa...

Wanaume Wanawapenda Wanawake wa Aina hii.

By On June 13, 2013
Ni wazi kuwa kila Mwanamke anatamani kumpata Mwanaume mwenye sifa anazozitafuta kila siku.Kumbuka nao Wanaume wanafanya hivyo pia,Jifunze kupita sifa hizi leo. 1.Mwanamke mwenye Msimamo    Mwanaume humwangalia  Mwanamke kama anaMsimamo ,Sio Mwanamke uko kama Kinyonga,kila Mwanaume anahitaji kuwa na uhakika,Mwanamke aliyemkabidhi moyo hana mihangaiko na hayumbishwi na lolote na...

Mafuta ya Ubuyu/Unga wa Ubuyu na Faida zake Mwilini.

By On June 13, 2013
Yana Virutubisho Vifuatavyo: -Vitamin:  (Thiamin) vitamin B1, Riboflavin) B2, (Niacin) B3, kiasi kikubwa cha (Ascorbic Acid) Vitamin C, Vitamin A, Vitamin D, Antioxidant na Vitamin E (Tocopherol) -Madini kama vile: – kiasi kikubwa cha Calcium, Manganese, Iron, Potassium, Zinc, Phosphorus, na Amino acids  FAIDA ZAKE:- Yanakuongezea hamu ya kula na kukumbuka vizuri kwa ufasaha...

Procurement Specialist

By On June 13, 2013
Coca-Cola Kwanza Limited Deadline: Jun 21, 2013 www.zoomtanzania.com...

Teachers(Field Project Officers)

By On June 13, 2013
Teachers Organisation Deadline: Jul 31, 2013, www.zoomtanzania.com...

Sunday, June 9, 2013

Haya ndiyo madhara ya kunyonyana,midomo,uchi na makalio

By On June 09, 2013
Hivi ndivyo mapenzi kunyonyana ilivyo na madhara         New York,Marekani ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe. Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu

1116878