![]() |
Mrembo wa taji la Redd's Miss Arusha Glory Stephen (katikati) akiwapungia watazamaji walongia kufuatilia mashindano hayo baada ya kutangazwa mshindi nafasi ya pili ni Nance Mushi |
![]() |
Mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Faustin Mwandago akiwa anawapongez warembo walioshinda katika shindano |
![]() | |
Faustin Mwandago
|
![]() |
Mzee Yusuph Kazini ndani ya kumbi wa Triple A complex |
![]() |
Phide Mwakitalima akifuatilia mashindano kwa Umakini. |
watazamaji wakiwa katika Burudani na Mzee Yusuph |
No comments:
Post a Comment