Enter your keyword

Culture for Life.

Thursday, June 13, 2013

Bidhaa/Dawa ambazo Mwanamke Hupaswi Kutumia

BIDHAA TANO AMBAZO HUPASWI KUTUMIA KAMA MWANAMKE NADHIFU.
1.DAWA ZA KUKAZA UKE:baadhi ya wanawake wanatumia dawa hizi ilikupunguza ukubwa wa uke wengine udanganywa kuwa zinardisha bikra si kweli,endapo utatumia dawa hizi utafanya uke wako kuwa mkavu na hupelekea kupata mangonywa nyemelezi au mambukizi kwa haraka.kama mwanamke usitumie dawa hizi ukishindwa tumia zoezi alilofundisha Philomena na litamfanya mpenzi wako afurahie uwapo naye faragha.

2.DAWA/BIDHAA ZA KUONGEZA MAZIWA NA HIPS AU MAUMBILE YAKO.
Watu wengi wanatumia dawa hizi,naomba mchunguze watu wengi wanapata madhara baada ya kutumia dawa hizi,utazifurahia kwa mda mfupi lakn mazdhara yake ni makubwa ,usababisha kansa.Hivyo ni vema kuepuka matumizi ya dawa hizi.

3.BOMBA YA KUSAFISHIA UKE PAMOJA NA DAWA ZA KUSAFISHIA UKE.(feminine washes)
Kwa kawaida uke wa mwanamke ujisafisha wenyewe si lazima kununua bomba kwaajiri ya  kusafisha uke wako.Endapo uke wako unatoa harufu au usaha muone daktari kwa ushauri na matibabu haraka.Tunapo safisha uke wakati wa kuoga au mda wowote inatosha si lazima mpaka bomba,Dawa ambazo tunatumia kusafishia uke wetu uharibu kazi ya bacteria ambao wako ukeni ambazo uzuia maambikizi hivyo hupelekea kupata maambukizi kirahisi tunapo tumia dawa hizo.

4.DAWA ZA KUCHUBUA NGOZI.
Wanawake wengi tunapenda kutumia dawa hizi ili kungarisha ngozi zetu bila kujua kuwa zinamadhara makubwa katika ngozi zetu,unapo tumia dawa hizi au cream ambazo uchubua ngozi kumbuka kuwa zinaharibu ngozi yako hasilia.mfano Mafuta ya Carolight ambayo yanatumiwa sana na wanawake,kwanza yanakuchubua na kukufanya uonekane mzee.Tusitume vipodozi vinavyochubua kwa ajiri ya kulinda ngozi zetu.
SAMAHANI KAMA KUNA WATU NIME WAKWAZA UKIONA USHAURI UNAFAA UTUMIE MSHAURI MWENZAKO.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu