Enter your keyword

Culture for Life.

Monday, June 17, 2013

Maafa ya Mlipuko wa Bomu lililotokea trh15/6/2013 yanaendelea kwenye Viwanja vya SOWETO Jijini Arusha leo.

Mbunge wa Arusha Mjini  Mh.Godbless Lema (kushoto) na Mwenyekiti wa Taifa  wa CHADEMA (Kulia) MH.Freeman Mbowe,wakiungana na Waombolezaji  kwaajili ya Maafa ya Mlipuko wa  Bomu Arusha Lililotokea tarehe 15/06/2013.Mpaka sasa wamekufa watu wanne(4) na Majeruhi sitini na nane(68)

 

 


Waombolezaji wakiwa wamebeba  Mabango yenye ujumbe tofautitofauti katika viwanja vya SOWETO leo Arusha.



Waombolezaji wakiwa wamebeba  Mabango yenye ujumbe tofautitofauti katika viwanja vya SOWETO leo Arusha.




Gari la CHADEMA katika Viwanja vya SOWETO  Jijini Arusha wakati wa maombolezo leo.



Wananchi waliohudhuria Maombolezo ya maafa ya Mlipuko wa Bomu Lililotokea tarehe 15/06/2013 katika mkutano wa CHADEMA kwenye kampeni za Udiwani..


Wananchi  na Wanachama wa CHADEMA wakiungana na Viongozi wa Chama katika kuomboleza watu waliouwawa kwa shambulio la Bomu Lililotokea tarehe 15/06/2013 katika mkutano wa CHADEMA kwenye kampeni za Udiwani..


Mbunge wa Arusha Mjini  Mh.Godbless Lema (kushoto) na Mwenyekiti wa Taifa  wa CHADEMA (Kulia) MH.Freeman Mbowe,wakiungana na Waombolezaji kwaajili ya Maafa Mlipuko wa  Bomu Arusha Lililotokea tarehe 15/06/2013


No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu