Ni wazi kuwa kila Mwanamke anatamani kumpata Mwanaume mwenye sifa anazozitafuta kila siku.Kumbuka nao Wanaume wanafanya hivyo pia,Jifunze kupita sifa hizi leo.
1.Mwanamke mwenye Msimamo
Mwanaume humwangalia
Mwanamke kama anaMsimamo ,Sio Mwanamke uko kama Kinyonga,kila Mwanaume anahitaji kuwa na uhakika,Mwanamke aliyemkabidhi moyo
hana mihangaiko na hayumbishwi na lolote na chochote
Unaweza kuwa na kila kitu,Mzuri wa Sura na pia huenda ukawa umebarikiwa Mali na bado
usimpate Mwanaume unayetamani kuwa naye.
2.Mwanamke unapaswa kuwa Mwelevu
Jitahidi kumwelewa Mwenzi wako,Usiwe mtu wa lawama kila kukicha anapokuwa na nafasi ndiyo wakati wako mzuri wa kumueleza yote anyokukwaza,Ukiweza kuwa na Lugha nzuri hakika yeye ndiyo atakuwa mpole kwako na atakupenda zaidi Wanaume hawapendi kukalipiwa hata siku moja.
3.Mwanamke ni Kichwa cha Nyumba.
Maana yangu ni kwamba,siku zote mwanaume ni kichwa cha nyumba lakini pia kichwa bila macho bado hamna kitu,Mwanamke unapaswa kuwa mshauri mkubwa kwa mwenzi wako,wengi wetu tunajali Urembo,ujue leo kuna mtindo upi umeingia sokoni iliweze kuomba hela ya kukufanya wewe utokelezee,Jiulize swali hili,utawezaje?kupendeza bila mwendeleo ndani amka Mwanamke.
Women have planning and control ability,USE IT...Usikae tu kama muuza genge unasubiri wateja,Do your job and Win him!
4.Mwanamke sharti uwe msafi.
Msaidie Mwanaume awe msafi pia,rohoni hadi
mwilini jiatahidi kusali,Juwa kuwa usipo mfanya mume wako kuwa nadhifu huko mtaani watamsafisha na atakuama,pia usafi wa mwili wako,nyumba,Upikaji wako naomba leo nikupe siri,wanaume wanapenda wanawake,Wasafi kuanzia mwili wake,Mahali anapoishi na Mapishi mwisho jitahidi kumtuliza mumeo mpe vitu anavyopenda hapo utaweza kulinda penzi lako.
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
-
KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi
kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua
Progra...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment