Jinsi kijana unavyoweza kuchangamkia fursa katika sanaa #mimi na sanaa
By
SINYATIBLOG
On
September 27, 2017
In
Ubunifu
Gerald Soka ni kijana aliyemaliza shahada ya utalii katika chuo kikuu cha Dodoma Tanzania.Mbali na shahada hiyo Gerald anasema alikuwa anapenda sana kuchora na alishawahi kuwa mshindi katika uchoraji kipindi cha UMITASHUNTA mwaka 1999.Anasema baada ya kumaliza chuo alipata nafasi ya kutembelea Uganda na rafiki yake.
Saa ya ukutani
Gerald Anasema alipofika Uganda ndipo aliona fursa ya uchoraji...