Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, December 15, 2012

Baadhi ya wachezaji wa Tanapa ktk viwanja vya jamhuri Dodoma wakiwa wameshikilia makombe baada ya kushinda katika mashindano ya SHIMUTA mwezi wa 11/2012

By On December 15, 2012
Meneja wa timu(Namweni)akiwa ameshikilia moja ya kombe la ushindi katika viwanja vya jamhuri Dodoma. TANAPA ilinyakuwa makombe 6 katika mahindano ya SHIMUTA  Mwaka huu(2012)huku busketball wanawake ikiwa Mshindi wa kwanza,Mpira wa miguu washindi wa pili,mpira wapete washindi wa pili,dusk mshindi wapili,pooltable mshindi wa pili,riadha mshindi wakwanza na wap...

vyakula vya msingi kwa ubora wanywele zako

By On December 15, 2012
Fahamu vyakula vya msingi kwa ajili ya ubora wa nywele zako Karibu tena mpenzi msomaji wa makala hii ya Urembo na Mitindo inayokujia kila wiki kupitia safu hii.Katika makala hii nitazungumzia utunzaji wa nywele  kwa wanaume na wanawake .Nitakutajia vyakula ambavyo hufanya nywele kuwa imara  na  zenye mvuto asilia,Watu wengi hulalamika  nywele kukatika,kuwa nyepesi,kuwa kavu...

Vitu vya Msingi kwenye mkoba wa mwanamke

By On December 15, 2012
Vitu vya msingi  kwa mwanamke katika  Mkoba(Hand bag )wako. Naomba leo tukumbushane mambo matano ambayo yanaweza kuwa msaada kwetu.Wanawake tunamambo mengi na wakati mwingine tunaweza kushau mambo ya msingi kutokana na kutokuwa na mpangilio mzuri, Hivyo basi ilikuondokana na tabia hii ni vema leo katika safu yetu ya Urembo na mitindo tukumbushane mambo hayo matano: Pochi Ni muhimu...

UVAAJI WA SKAFU

By On December 15, 2012
Jifunze aina mbalimbali za kuvaa Skafu HABARI za wikiend mpenzi msomaji wa safu hii mpya ya urembo na mitindo ya mavazi inayokujia kila siku ya Jumatatu.  Katika safu hii utaweza kufahamu na kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu urembo na mitindo ya mavazi kwa wanaume na wanawake, na hivyo kukufanya msomaji kwenda na wakati na kuonekana wa kisasa zaidi.  Katika makala hii ya mwanzo...

Upambaji wa chumba

By On December 15, 2012
Upambaji wa Chumba Chumba ni sehemu muhimu kuliko mahali popote katika nyumba.Tulio wengi huona sehemu hii kama mahali pa kupumzika pale tunapokuwa tumechoka na wakati wa kulala ndipo huwa tunakumbuka eneo hili. Fahamu kuwa hamna sehemu iliyo na maana sana katika maisha yetu kama chumbani au sehemu ya kulala. Sehemu hii inapaswa kuwa tulivu, safi na yenye vitu  vichache, Unapoweka vitu vichache...

Namna ya kuosha unyayo

By On December 15, 2012
Jinsi ya kusafisha Unyayo Si kitu cha ajabu katika saluni zetu kuwakuta wanawake wakisafishwa kucha  na kupakwa rangi ili kuvutia miguu yao.Usafishaji na utunzaji wa miili yetu ni jukumu letu kufanya hivyo ili kuendelea kuvutia zaidi. Leo katika safu hii ya urembo napenda nizungumzie suala hili la usafishaji wa unyayo.Wapo wanawake au wanaume ambao miguu yao huchanika, kuwa na fangasi...

Umuhimu wa tikiti maji kwa wanaume

By On December 15, 2012
Umuhimu wa Tikitimaji(Watermelon) kwa wanaumeNitumaini langu kuwa tunda hili sio geni masikioni kwa wengi,Hivyo basinaomba leo niweze kuwa elezea umuhimu wa tunda hili kwa ambao hawafahamu na inawezekana wengine wanalitumia bila kujua faida ya tunda hili kiafya. Mbali ya kuwa ni chanzo kikuu cha Vitamin A, B6, C, 'Potassium', 'Magnesium' na virutubisho vinginekibao, tunda hili pia lina virutubisho...

Siri ya Mwanamke Mrembo

By On December 15, 2012
 Anne Kansiime. Kansiime Kubiryaba Anne (amezaliwa 13 April 1987) anajulikana kwa jina la umaarufu Anne Kansiime ni msanii wa vichekesho kutoka uganda watu hupenda kumwita malikia wa afrika katika vichekesho.Ni mwanamke ninaye mkubali katika tasnia ya usanii na huwa anapenda kuwa kiafrica rangi ya ngozi yake ni kivutio tosha kama mwanamke wa kiafrika. Kuna msemo usemao kuwa “mwanamke ni...

Jinsi ya kuvaa Stoking

By On December 15, 2012
 (Stoking)   Stokingi ni vazi ambalo limeshika kasi sana siku hizi, watu wengine uliita vazi hili soksi chupi au soksi ndefu kutokana na muundo wake ulivyo,Vazi hili huvaliwa na rika zote,wengi hupendelea kuvaa kwasababu huwasaidia kustili miili yao huku wengine wakilitumia kujizuia baridi.Katika safu yetu hii ya urembo na mitindo nitakupatia dondoo chache za vazi hili na namna linavyostahili...

NJIA YA KUONDOA CHUNUSI NA MABAKA USONI

By On December 15, 2012
 Njia ya kuondoa Chunusi na mabaka usoni Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujitokeza kama vivimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria. Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao humwathiri binadamu kwa kiasi kikubwa . Chunusi huweza...

Jumpsuit(bwelasuit)na uvaaji wake

By On December 15, 2012
  JUMPSUIT(Bwelasuti) na uvaaji wake Mpenzi msomaji wa safu hii ya urembo na mitindo ya mavazi leo nataka kuwajuza historia ya vazi hili ambalo kwa sasa limekuwa likivaliwa sana katika mandhari mbalimbali. Bwela suti au ovaroli(Jumpsuit) mwaka 1960 ni vazi ambalo zamani lilitumika sana na watu wanaoruka na parachuti kwa lengo la kuzuia hali ya baridi na upepo. Mwaka 1987 vazi...

Tuesday, January 31, 2012

Mazingira Yetu

By On January 31, 2012
SEHEMU TULIVU Mwana-adamu kwa kawaida ameumbwa naa mambo mengi lakini kitu ambacho mpka leo hiii hakuna alie na jibu ni kwamba ni nini hasa hutokea akilini pale uonapo au utizamapo mandhari yanayovutia? Ghafla unajikuta akili yako inabadilika na mawazo kupungua uonapo kitu ambacho ni kizuriii na kinakuvutia hasa mazingi...

Maisha na Mazingira

By On January 31, 2012
UTULIVU Wakati mwingine akili huhitaji sehemu tulivuuu ili ipumzike japo kimawazo kulingana na siku yako ilivyokuwa na mambo uliyokutana nayo toka ulipoamka mpaka jua kuzama. Jipe amani nafsini mw...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu

1116879