Meneja wa timu(Namweni)akiwa ameshikilia moja ya kombe la ushindi katika viwanja vya jamhuri Dodoma.
TANAPA ilinyakuwa makombe 6 katika mahindano ya SHIMUTA Mwaka huu(2012)huku busketball wanawake ikiwa Mshindi wa kwanza,Mpira wa miguu washindi wa pili,mpira wapete washindi wa pili,dusk mshindi wapili,pooltable mshindi wa pili,riadha mshindi wakwanza na wapili
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment