Enter your keyword

Culture for Life.

Monday, August 13, 2018

Mishono mipya ya sendoff Agosti 2018.#vitenge

By On August 13, 2018
Binti unayeagwa ni vema basi kuwa angala na mavazi ya kanisani, wakati wa kupiga picha,nyumbani, na vazi la kuvaa ukumbini kama una uwezo wa kufanya hivyo lakini kama huna mavazi mawili tu yanakutosha. Vazi la kanisani ndilo utakalokwenda nalo kupiga picha kisha ukimaliza utaenda kuagwa nyumbani na familia yako.Kisha ukumbini unatafuta vazi zuri litakalo kufaa. Kumbuka kuwa ugumu wa maisha au ukubwa...

Furaha ya Wazazi ni kumuaga binti yao #Sendoff Party#Mishono ya Sendoff

By On August 13, 2018
Ushawahi kujiuliza  haya maswali,kuwa ni rangi gani utavaa wakati kuagwa nyumbani kwenu,Ushawahi jiuliza unataka kuwa na muonekano gani siku ya sendoff yako,Je?Mume wangu mtarajiwa atavaa nini? ni kweli ni lazima tufanane kimavazi hata rangi tu ya nguo ina ulazima gani?,Wageni waalikwa watavaaje katika siku yangu. Binti unayeagwa ni vema basi kuwa angala na mavazi ya kanisani, wakati wa kupiga...

Tuesday, May 22, 2018

Bold fashion

By On May 22, 2018
 Socks with heels is a bold fashion statement that we have seen on most and popular bloggers who have bold and adventurous style, but that doesn’t mean you can’t absolutely rock that trend, too. If you think that classic pumps and sandals too formal for street wear, then wear socks with them to make it cool and more casual. You can wear quirky socks and shoes combo in different contrasting...

Monday, May 21, 2018

Harusi itakayofunga mwaka 2018#Meghan Markle &Prince Harry.

By On May 21, 2018
Ilikuwa tarehe 19 mei 2018.Ambapo Prince Harry na Meghan Markle waliweza kufunga ndoa  katika kanisa la St.George's Chapel Windsor caster-United kingdom. Inasadikika kuwa watu million 18 nchini marekani na watu milioni 100 duniani waliweza kuitazama harusi hiyo kupitia vyombo vya habari vilivyokuwa vina rusha harusi hiyo Mubashara.Ilirushwa  kupitia CNN,BBC America,Sky News,Fox ,BBC one.na...

Saturday, May 12, 2018

Hii ndiyo rangi ya mwaka 2018#purple

By On May 12, 2018
Kumekuwa na mkanganyiko sana kuhusu rangi ya mwaka,Wengine wamekuwa wakidai bluu ndiyo rangi ya mwaka kutokana na kwamba mwaka Jana ilivaliwa mno hasa na maharusi. Naomba nikutoe kimasomaso rangi iliyotangazwa na Pantone ambayo ninkampuni inayotekeleza jukumu hilo baada ya kufanya utafiti katika mitindo mbali mbali hutoa rangi ya mwaka. Rangi ya dhambarau IPO katika muonekano tofauti .nitatupia...

Friday, May 11, 2018

Ubunifu wa kipekee,kwa mtu wa kipekee

By On May 11, 2018
Ninapozungumzia ubunifu,hii ni hali ya kuwa na wazo La tofauti katika jambo unalofanya,Mimi nazungumzia ubunifu wa mavazi ambao humfanya mtu kuwa wa kipekee. Hivyo upekee wa mavazi ndiyo hutambulisha mtu,mfano mtu huambiwa umevaa kama changudoa kutokana na muonekano wa vazi hulilovaa kuwa ni la kichangudoa,au unaweza ambiwa umevaa kama bibi,babu,kijana,mshamba ,miss nikutokana na muonekano...

Wednesday, April 18, 2018

Vazi la Ubunifu kwa kutumia Ungo#Makeke

By On April 18, 2018
Baada ya uzoefu mkubwa katika matumizi ya mapishi jikoni, ungo umejizolea umaarufu mkubwa  baada ya kuingizwa rasmi katika tasnia ya sanaa hususani katika  ubunifu wa mavazi na kupewa jina la *LUPAHERO* na Jo;cktan Makeke.  *MAANA YA LUPAHERO* Ubunifu huu wa mavazi umepewa jina la *LUPAHERO* ambalo ni mchanganyiko wa majina mawili ambayo ni *LUPAPIKE*, neno la *kinyakyusa* lenye...

Thursday, March 29, 2018

Kitenge ndani ya Manyoa.#kichenparty#vitenge

By On March 29, 2018
Tunapozungumzia ubunifu,ni ufundi anaoutumia msanii yeyote katika kuwasilisha/kufanya kazi yake iwe tofauti na na kazi za watu wengin Vazi La kitenge ni vazi unaloweza kuchanganya na kitambaa au mapambo yoyote katika ubunifu na ukapata vazi LA kipekee ,kama hilo vazi ni la kitenge ila limetiwa nakshi za manyoa kazi kwako....

Saturday, March 10, 2018

African kids Fashion#2018

By On March 10, 2018
Watoto wadogo  siyo lazima kuwanunulia mavazi ya special ama mtumba wanaweza kupendeza katika vazi LA kiafrika na wakawa na muonekano mzuri.Kama unavyoona  baadhi ya hawa watoto wakiwa katika mavazi ya mutadha tofauti. Watoto katika vazi la Nigeria  Kivazi cha part kwa mtoto(baby yellow)  Katika muonekano wa vazi la kibunifu la kitenge kipart zaidi. ...

Monday, March 5, 2018

Ubunifu Wa Mavazi Wa Makeke Si Wa Nchi hii#MakekeAfrica

By On March 05, 2018
Nimekuwa nikipenda sana kazi za ubunifu hasa ule wa asilia,ni wazi kuwa tuna wabunifu wengi lakini ubunifu wa kijana wacko Jacko alimaarufu Makeke si wa nchi hii mavazi yake yanatukumbusha Africa yetu huko zamani. Tarehe 24/2/2018 Makeke alifanya tamasha kubwa La mavazi yake ambapo tamasha lili huzuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wabunifu wakubwa nchini na wasanii wa bingo Movie bila...

Mitindo mipya ya nguo za vitenge#2018

By On March 05, 2018
Kitenge ni vazi ambalo halichuji,wabunifu wamekuwa wengi na kila siku inaibuka mitindo mipya ambayo MTU anaweza kupata vazi La mandhari yoyote. kitenge huweza kuvaliwaa mandhari yoyote.Kitu unachopaswa kukifikiria kabla ni mandhari(location) unayotaka kuvaa vazi hilo ili ubuni kulingana na mukta...

Wednesday, February 14, 2018

Zari kammwaga Diamond siku ya Valentine#valentine day

By On February 14, 2018
Mama Tiffa maarufu kwa jina La Zarithebosslady,ameamua kumwacha mpenzi wake alimaarufu msanii Diamond,Zari ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa"kavumilia mengi na sasa imefika mwisho,nitaendeleza urafiki na Diamond kama baba wa watoto wangu lakini sio mahusiano ya kimapenzi" Zari anasema amekuwa katika tasnia ya Sana'a miaka 12 na kuwa mfano wa kuigwa.Hivyo hatoaacha kuendelea kuwahamasisha...

Saturday, January 27, 2018

Pata muonekano wa Wema Sepetu katika nguva.

By On January 27, 2018
 mnaopenda kudesa muonekano huu hata kwa harusi uko poa lakini upate mbunifu mzuri hasa wa nguo. Mwanadada Wema mara nyingi kuitazama mishono yake ya party huwa  na muuonekano wa nguva lkn hili ni balaa mabibi harusi hawaoni ndani. Big up kwa Designer wake. . ...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu