Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, February 2, 2013

mwanamke huzeeka kutokana na maisha magumu

Pilande Nebelu mkazi wa Kijiji cha Endulen Wilayani Ngorongoro,  alizaliwa mwaka 1982, kwa hiyo hadi sasa ana umri wa miaka 30. Anasema anaonekana kama mzee kutokana na ugumu wa maisha na kukosa chakula mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu