Enter your keyword

Culture for Life.

Sunday, April 9, 2017

5 Ways to Wear the African print Circle scarf,

 1.UNAWEZA KUZUNGUSHA NUSU YA KIPANDE CHA KITENGE(SCARF) KWA UREFU KIKIWA KIMEKATWA NA KUKITUPIA SHINGONI MTINDO HUO NI  KWA MWANAMKE NA MWANAUME


 2.SCARF UNAWEZA KUIVAA KAMA ILIVYOSHONWA BILA KUIKUNJA MARA MBILI,KAMA PICHA YA CHINI INAVYOONESHA.

 3.SCARF UNAWEZA KUBADILI MUONEKANO KWA KUIVAA KUANZIA KICHWANI KAMA MTINDO WA HIJAB NA KUICHA INING'INIE CHINI.

 4.KWA WALE WENYE NYWELE NYINGI AU UKIWA UMESUKA NYWELE ZILIZOJAA HATA KAMA NI WEAVING UNAWEZA VAA HUU MTINDO WA SCARF NA4.



5.SCARF PIA UNAWEZA KUIVAA KWA KUMATCH NA TOP  AU NGUO ZAKO UTAKAZO VAA AU NAKSHI ZA UREMBO KAMA PICHA HIZO MBILI HAPO JUU NA HIZI MBILI HAPA CHINI.



No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu