Keke Palmer Mwigizaji,mwimbaji,mwandishi wa nyimbo na mtangazaji kutoka nchini marekani amekuwa gumzo katika mitandao na ulimwengu kwa ujumla baada ya kuonekana na begi la shangazi kaja ambalo linafahamika zaidi kama Ghana bag.pata muonekano wake:Angalizo tu,sidhani kama hii style wabongo mnaweza iga?
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment