Enter your keyword

Culture for Life.

Thursday, April 13, 2017

20 Style Tips On How To Wear Boyfriend Jeans and shoes

 Boyfriend kwa kiswahili ni rafiki wa kiume lakini Katika tasnia ya mitindo ,Mtindo huu wa boyfriend Umeonekana kushika chati mtindo huu ni wa mavazi ya kiume lakini yaliyo badilishwa muonekano kidogo na kuwa mavazi ya kike,Mavazi hayo ni kama

Jeans za kiume/Suruali ya kiume

   Jaketi la kiume

 Shati la kiume




 
Viatu vya kiume

 

Kofia ya kiume

 Kutokana na kukua kwa mtindo kampuni nyingi za mavazi zinatengeneza haya mavazi katika muonekano wa nguo za kike na kufanya watu wengi kuvutiwa na huu mtindo.Baadhi ya kampuni hizo ni Gap,Forever21 na H$M.Mtindo huu ulianza kuvaliwa tangu mwaka 2010 na watu kama Charlotte Ronson,Cynthia Rowley na Elie Tahari.
Jambo la kuzingatia unapotaka kutoka na muonekano wa kiume kike,mavazi haya lazima yawe na muonekano wa kupwaya fulani lakini kipimo cha upana huo uwe sawa kama ni suruali ipwaye pia shati lipwaye si sana mpaka kupoteza mvuto.



.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu