Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, April 12, 2017

9 Hottest African print Styles Of Yemi Alade


Yemi Eberechi Alade (Alizaliwa tarehe 13 Machi 1989)anafahamika zaidi kwa jina la Yemi Alade,Ni mwanamziki kutoka Nigeria alifahamika zaidi baada ya wimbo wake wa "Johnny"

 Binafsi nampenda mwanamziki huyu kwakuwa anapenda sana mavazi ya kiafrika ukijaribu kufuatilia nyimbo zake nyingi lazima zina maleba ya kiafrika hata kama si maleba basi utakutana na nakshi za kiafrika.

Wasanii ni vioo vya jamii endapo wasanii wengi watakuwa wabunifu katika maleba ya video zao basi hata utamaduni waa kiafrika utakuwa zaidi na kufahamika kama ambavyo nyimbo nyingi za kiafrika zinavyochukua tuzo mbalimbali kutoka kwa wasanii wetu.Yemi alade ni mfano wa kuigwa katika suala zima la kuwakilisha mavazi ya miafrika.

Beads necklace huweza kukupa muonekano mzuri ikiwa utazipangilia veama


 Hili ni masai shuka halijashonwa bali ni ubunifu tu umetumika hapo,ukiangalia vema upande wa kushoto chini ya kwapa limefungwa fundo lakini sti vazi hili limempendeza sana Yemialade cheki katika wimbo wa "Nagode"





  • Tuzo alizopata

    • WatsUp TV Africa Music Video Awards
    •  MTV African Music Awards
    • BET Awards
    •  Nigeria Entertainment Awards
    •  City People Entertainment Awards
    •  MOBO Awards
    •  YEM Awards
    • ELOY Awards
    • Nyimbo bora za Yemi Alade

    • "Tumbum" (November 2016)
    • "Want You" (July 2016)
    • "Africa (ft. Sauti Sol)" (July 2016)
    • "Kom Kom (ft. Flavour)" (May 2016)
    • "Ferrari" (March 2016)
    • "Koffi Anan" (Freestyle) (January 2016)
    • "Classic Girl Freestyle" (Jidenna's "Classic Man" cover) (2015)
    • "Na Gode" (July 2015)
    • "Johnny" (October 2013)
    • "Fimisile" (2009)

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu