1.Kuogopa rangi ziletazo giza
wakati mwingine katika kuchagua rangi ya nyumba mtu anachagua rangi zinazong'aa ilikuifanya nyumba iwe na rangi yenye kung'aa wakati kuna rangi zingine nzuri ambazo hukufanya kuwa katika hali ya utulivu.Unaweza ing'arisha kwa mapa
2.Uwekaji wa picha ukutani.
Ndiyo picha huleta mvuto katika nyumba haijalishi zipo katika muonekano gani lakini unapoziweka pamoja bila kuzingatia rangi zake,rangi za frame au ukubwa wa frame na kuziweka sehemu moja lazima zitakuboa,Weka kwa kuzingatia rangi zinazofanana kama unaziweka pamoja au angalia ukubwa wa frame zako na shauri utumie picha za kiutamaduni au za kisanaa zaidi kwa picha pia humsaidia mtu kupumzisha akili yake hasa anapoziangalia
3.Kwa ajili ya kuwa na nyumba yenye nafasi
Hali hii hupelekea nyumba yako kuoneka katika muonekano mbaya mfano hata uwekaji wa picha kuweka kwa wima ili kukwepa kubana nafasi wakati ukiweka picha hiyo kwa wima ingeonekana vema,Unapofanya hivyo nyumba lazima ikuboe.
Kupitia hayo mambo matatu niliyoyatajanaamini utajifunza kitu kidogo na kurekebisha muonekano wa nyumba yako.
No comments:
Post a Comment