Angalia
walivyopendeza na mitindo ya nywele ambayo inafaa maeneo mbalimbali ofisini hata katika matembezi
mbalimbali.
Kwa wanaopenda mitindo ya nywele fupi
Ni
vizuri kwenda na wakati japo usiwe mtumwa wa mitindo au fashion mpya
zinazokukja kila uchao.
Nywele
ni moja ya mambo yanayomfanya mwanamke kuonekana wa kisasa na wa kuvutia.
Unapochagua
mtindo wa nywele uwe makini, kuna mambo ya kuzingatia kwa uchache tu
kuna la kuzingatia kazi uifanyayo, umri, wadhifa katika jamii, sura na
umbile lako, rangi ya ngozi, maeneo unayokwenda.
No comments:
Post a Comment