|
Bibi harusi kulia akiwa na msimamizi wake katika mazingira ya umasain,Hili ndilo kabila linalodumisha utamaduni wake Tanzania ,kabila hili lina utajiri wa vitu vya asili ambavyo binafsi huwa vinanivutia sana kwani vinapobuniwa vema basi huwa na thamani kuwa hata katika kununua.
|
PIC CREDIT: ME PRODUCTION-ARUSHA
|
PIC CREDIT: ME PRODUCTION-ARUSHA |
Bibi harusi wa kabila la kimasai vazi lake lazima lijae nakshi za shanga kwa wingi pamoja na cheni ya kimasai hiyo ndefu pamoja na hizo zinazo onekana shingoni kwake ni muhimu sana kwa binti wa kimasai,ambazo huita enkarewa.
Vazi la bibi harusi wa kimasai si chini ya T.SH 500,000/=Napenda
watanzania wote tungekuwa na mwamko wa kuvaa mavazi yetu ya asili hata
kama huna basi waweza vazi la kitamaduni lilipo katika kabila lako.
|
PIC CREDIT: ME PRODUCTION-ARUSHA |
ME PRODUCTION-ARUSHA
Wapo Jijini Arusha karibu na jengo la Namvua Plaza Ghorofa ya Kwanza karibu na Stand kubwa ya mabasi ya mikoani.
Wanapiga
picha katika location tofauti pia katika sherehe mbalimbali kama
harusi,birthday,sendoff,cocktail part...na matukio yoyote pamoja na
video shooting wana bei poa fanya nao kazi ufurahie kumbukumbu ya tukio
lako.
Watafute kwa mawasiliano haya:
meproduction22gmail.com
Mobile no.+255 752026643
+255 763782044
No comments:
Post a Comment