1.Vaa koti ambalo utalifunguo vifungo
2.Chagua nguo ambayo haionyeshi ukubwa wa tumbo lako sana na ikupe muonekano mzuri.
![]() |
Blogger Shamimu Mwasha kushoto pic ya kwanza alipokuwa mjamzito na mwanamitindo Kiki katika vazi ambalo hata mjamzito anaweza kulishona na akapendeza. |
No comments:
Post a Comment