2017#Miaka 53 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vazi la taifa ni lipi mpaka sasa?
By
SINYATIBLOG
On
April 26, 2017
In
Ubunifu
Miaka 53 ya muungano Kauli mbiu ni tuulinde na kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kuwajibika na kufanya kazi kwa bidii.
Stara Thomas, mwimbaji wa zouk akiwa amevalia vazi murua kabisa!
Picha: hisani ya haki-hakingowi blog.
Katika kuadhimisha miaka 53 ya uhuru ni vema pia tukikumbuka kutafuta vazi ambalo linatutambulisha kama watanzania kama mataifa mengine yanavyojitambulisha...