Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, January 4, 2017

Rangi za nguo zitakazo kufanya ung'ae Mwaka 2017.

Ni wazi kuwa kila mtu kuna rangi za nguo anazopenda lakini kumbuka kuwa si kila rangi  itakupendeza ili mradi unaipenda basi itakupendeza hapana.Wakati mwingine unaweza kuvaa nguo ya gharama sana lakini kama utakosea rangi ya nguo pamoja na mtindo basi hata upite wapi hutaonekana kama umependeza.Leo nitakupa tu rangi chache ambazo zinaweza kumpendeza mtu yeyote.

Akosua vee,Blogger from Ghana

 Kuna rangi kama black huweza kuendana na rangi nyingi na ukatokelezea unakuwa umezichanganya.Nitakuonyesha mfano wa rangi zilizopo katika Rainbow ambazo unaweza kuzitumia katika mavazi yako bila kujali rangi yako.Rangi hizo ni  Red,Orange,Yellow,Green,Blue,Indigo na Violet.kama zinavyoonekana katika hiyo picha hapo chini.

Hakikisha tu unapovaa nguo yenye rangi zinazong'aa basi aidha kiatu au pochi iwe na rangi iliyotulia.Kama ni nguo ina rangi zinazong'aa sana basi accesories zako ziwe na rangi ya kupoa kiasi.



No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu