Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, January 11, 2017

Mambo Mawili yatakayoifanya Sebule yako ionekane kubwa.

Pazia zako ziwe ndefu.

Hakikisha sehemu ya kuweka pazia ikaribie na ceiling,kwani hii itampelekea hata mtu kuona nafasi ndani ya sebule yako,kwani sehemu ndogo ya ukuta itaweza kuonekana.
photo:Copyright Fusion Television

 Kutumia rangi moja ndani.

Matumizi ya rangi moja husaidia kuonyesha nafasi ndani ya nyumba kwani mtu anapo angalia ukuta na mlagoni rangi ikiwa moja husaidia kutokuonyesha mwisho,hivyo hufanya mtu kuona kuwa sebule yako inanafasi unaweza kutumia rangi kama  nyeupe,gray or Aqur

Kochi lako hakikisha lipo katika mtindo wa l.Mtindo huu humsaidia hata mgeni anapokuja hujichagulia sehemu ya kukaa na kuona kuwa nyumba yako ina nafasi.

photo: Tria Giovan


No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu