Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, January 10, 2017

Njia rahisi Zitakazo kuweka Nadhifu Katika Mavazi yako.

Ni kweli kwamba unapofika wakati wa kwenda kazini kila mtu huwaza ni nguo gani anaweza kuvaa,Hata kama kabati  lako limejaa ngu za kila aina pamoja na rangi mbali mbali za mavazi hayo lakini bado utaona kama huna vazi la kuvaa wakati huo.

 Blogger Akosua Vee


 Kumbuka kuwa muuzaji nguo,mshonaji pamoja na wanaofua nguo zako au drycleaner hao ni marafiki zako wakubwa ambao unaweza kuwa nao karibu ili kuweza kupata nguo nzuri zinazokupendeza na zinazoendana na mwili wako.Katika uvaaji hakikisha mwili wako hauzidi rangi tatu katika mavazi yako hata kama ukichanganya accessories ila hilo ni jambo la msingi kulielewa.
OUTFIT DETAILS
outfit : eyecandy
Bag :zara woman
Makeup: pretty touch ghana
Pictures :Akosua Vee
 

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu