Bogolan print ni vitambaa ambavyo vinapendwa pia kutokana na muonekano wake ulivyo mzuri ukilinganisha na African Print kama Wax,Kente basi Bogolani print inafuatia.Hivyo mwaka huu wa 2017 Bogolan print inaonyesha kushika chati katika mavazi ya Kiafrika.
Bogolan Print ni vitambaa vinavyotengenezwa sehemu za vijijini huko Mali,lakini vazi hili lilivaliwa sana miaka ya 80 na kushika kasi miaka ya 90.
Mavazi ya kiafrika kwa sasa yanashika chati kutokana nakuwepo kwa utengenezaji mzuri wa African Print kutoka China na ubunifu wa hali ya juu.Jionee picha tofauti za mavazi kwa kutumia kitambaa hiki cha Bogolan Print.
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment