Kadri siku zinavyosonga mitindo mipya inayotokana na vitenge,kente,bongolan na vitambaa vingine vya Kiafrika vinazidi kutafutiwa makeke ya kufanya mtu apendeze.
Hivi sasa unaweza kushona neckwear au mkufu wa shingoni kwa kipande kidogo cha kitenge na ukavutia zaidi.Nashauri wewe kama ni fundi usitupe masalia ya vitenge,hata mtu unapoenda kushona hakikisha hutupi kitenge kwasababu tu kimebakia kidogo.
Hizi chini ni baadhi tu ya mitindo ya neckwear ila unaweza kubuni utakavyo.
No comments:
Post a Comment