Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, January 14, 2017

30 Beautiful Turban head Wrap




Kilemba kwa mwanamke humuongezea unadhifu na kupelekea watu kumtazama popote anapopita.Unaweza kuvaa kilemba cha kanga,kitenge au kufunga kilemba kwa kutumia vitambaa vya skafu na ukaonekana poa zaidi,kisha changanya na accessories ulizonazo ili kuvutia zaidi.

Wakati mwingine jaribu kuwa tofauti, ni wazi kuwa kuna mda unatamani kufanya jambo fulani lakini unaogopa utaonekana vipi,Jaribu kujipenda na kujithamini bila kuwa na hofu ya watu kuwa  watasemaje?














No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu