- kuwa na mkufu wenye rangi nyingi au maua ya rangi tofauti,ikiwa unavaa nguo yenye rangi moja.
Zulu beads Necklace
- Kuwa na mkufu ambao utaweza kuvalia vazi lako la usiku
- Angalia urefu wa mkufu wako unaohitaji.Kulingana na wewe ulivyo ,mtu mfupi mkufu mrefu kwake huwa ni mzuri zaidi hufanya avutie zaidi na kumrefusha lakini pia anaweza kutumia kulingana na hitaji lake
- Hakikisha unakuwa na Mkufu ambao unaweza kuuvaa asubuhi mpaka usiku,kwasababu mikufu mingine hutegemeana na mda unaovaa,huenda umenunua mkufu wa usiku wewe unauvaa asubuhi.
- Jitahidi kuwa na mkufu mmoja unao fanana na moja ya nguo zako.
- Wakati mwingine unaweza kuvaa mikufu miwili tofauti kwa wakati mmoja kwa lengo la kuvutia tu muonekano wako.
- Unajua kuwa nguo inyokufanya unang'aa ni nguo nzuri kwako kwani ukufanya uonekane mdogo pia mwenye afya.Bado nasisitiza kuwa mavazi ya kiafrika huvutia sana ikiwa tu utajipangilia vema.
Afya : QYT Yaendelea Kupanua Huduma zake Jijini Dar es Salaam
-
Kampuni ya QYT inayojihusisha na huduma za tiba mbadala pamoja na kutoa
fursa Kwa vijana, imeendelea kupanua miradi yake Kwa kufunga tawi jipya
katika...
1 day ago
No comments:
Post a Comment