Enter your keyword

Culture for Life.

Wednesday, January 4, 2017

Janet Jackson Welcomes Son Eissa

Nifuraha kwa kila mwanamke anayetamani mtoto,kama Janet pamoja na kuwa na miaka 50 kapata mtoto. mwanamke mwenzangu usikate tamaa ya kutopata mtoto vilevile kukatishwa na umri kuwa mkubwa haijalishi endelea kuamini tu.,Vilevile katika suala la ujauzito ni vema wanawake kuwa wa siri ,siku hizi imekuwa fashion kupost picha za ujauzito na kutupia kwenye mitandao tena tumbo likiwa wazi , hiyo ni zawadi kubwa sana basi ni vema pia kuipokea katika  maadili.

Tunaiga ndiyo utamaduni wa wenzetu wa ng'ambo kuonyesha matumbo yao lakini sisi watanzania si utamaduni wetu.Utanisamehe kama nimekukera.

HONGERA JANET JACKSON.


Janet Jackson.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu