Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, January 10, 2017

Mambo Yatayokusaidia kuimarisha Ngozi yako.

Kula matunda mengi na mboga mboga.



Mtu yeyote anayekula matunda na mboga mboga kwa wingi husaidia kuhimarisha mwili wake,mfano ulaji wa Karoti,Maboga na pilipili hoho za aina zote.Husaidia kuufanya mwili kuwa wenye afya na unaong'aa mda wote.Pia matumizi ya vyakula vyenye vitamin c kwa wingi husaidia mwili kutokuwa na mikunjo na ukavu wa ngozi.Endapo utatumia njia hii utaifanya ngozi yako kuwa yenye afya na inayopendeza.

 

Kupaka mafuta sehemu zote za mwili.

Ikiwa unapaka mafuta usoni yanayong'alisha hakikisha hata mwilini unapaka hasa upande wa shingoni na kifuani hii ni kwakina dada,Wanaume wengi hawatumii mafuta lakini endapo watatumia basi itasaidia kuimarisha ngozi zao na kuzifanya kuwa zenye afya.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu