Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, January 7, 2017

Mwanamke anayependeza ni Yule anayejithamini.

Neema Mbongoni ni miongoni wa wanawake wanao nivutia katika ukurasa wangu wa facebook na kupelekea  kumfuatilia hasa upande wa fashion.Jinsi anavyopangilia mavazi yake na anajua namna ya kuuvalisha mwili wake.Mimi pia huwa najifunza kupitia jinsi wanawake wenzangu wanavyovaa.

umvao huu ulinivutia zaidi(African Print)

 


Tambua kuwa ukisha jua rangi za nguo zinazokupendeza na mitindo ipi ya mavazi inakupendeza hakika hutakuja jutia umbo lako wala kuvaa mavazi ya kutengeneza makalio au hips.Mwanamke usipo jithamini hakuna mtu atakaye kufanya upendeze kumbuka wewe ni pambo.
Nitatupia picha zake chache  nilizozipenda katika ukurasa wake wa  facebook wa Naamin unaweza kujifunza kitu kupitia kwake:


Watu wengi huogopa kukata nywele wakiohofia kuchukiza lakini Neema anasema baada ya kukata nywele zake baadaye alitokea kuupenda muonekano wake zaidi.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu