Enter your keyword

Culture for Life.

Friday, December 30, 2016

Mitindo 40 ya Vitenge Itakayo endelea kushika chati Mwaka 2017

By On December 30, 2016
African Print Jacket,Unaweza kuvaa wakati wa baridi,Jacket kama hili unaweza kulivaa na kuachia vifungo wazi bila kufunga na ukawa na muonekano tofauti yani two in one. # Africanfashion # Fashionblogger   African Print Solo Jacket African Print coat and Dress.Special for church or official wear. Nimempenda huyu dada balaa,Ukijijulia mwili wako yaani lazima hupendeze tu,Kazi ...

Thursday, December 29, 2016

Mishono mikali ya skirt za Vitenge iliyobamba Mwaka 2016 #50

By On December 29, 2016
Maxi skirt katika muonekano wa kitenge ni mshono ambayo Mwaka 2016 hauja mtupa mwanamke ,kutoka na uwezo wa kumpendeza kila mtu bila kujali umbo lake. Wanawake wanene,wembamba,warefu kwa wafupi mshono huu unawapendeza.Mbali na kumpendeza kila mtu mshono huu pia unamfanya mwanamke aonekane mwenye heshima zaidi. Mtindo huu mwanamke huweza kwenda nao mahali popote { location} yoyote...

Modeling ni Kazi kama kazi Zingine ." Tidy Clever"

By On December 29, 2016
Sinyati blog ilifanikiwa kufanya interview na  Tidy Clever mwanamitindo anayejishughulisha na tasnia  hii ya modeling pia ni msanii wa kuigiza, ameigiza filamu mbili ya Chozi la binti kibena na Songa Mbele.Tidy aliweza kuzungumzia mambo mengi yaliyopo katika tasnia hii ya Modeling.Hivi ndivyo mahojiano yalivyokuwa:   JINA KAMILI: Abubakar Athuman JINA LA KISANII:Tidy...

30 Ideas of How to Reuse and Recycle Old Tires into fashionable way.

By On December 29, 2016
Ubunifu husaidia pia katika kuinua kitega uchumi na kumfanya mtu kutokuwa tegemezi.Mtindo wa kutumia vitu chakavu na kuwa kitu kipya na chenye msaada ni jambo la heri.Ni vema wakati mwingine katika mazingira tunayoishi kuangalia ni jambo gani ambalo mtu unaweza kufanya na ukaweza kusaidia jamii yako.Leo nitakuonyesha ambayo unaweza kubadilisha tairi la gari lililoharibika  kuwa katika mtindo...
Page 1 of 561234567...56Next »Last

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu

1116874