Enter your keyword

Culture for Life.

Tuesday, December 27, 2016

Scarf Nyepesi hubadili Muonekano wa Mwanamke.




Zebra scarf.




 leo katika safu hii ya  mitindo nitatoa dodoso jinsi ambavyo mwanamke anaweza kubadilisha muonekano wake kwa kutumia skafu na akaonekana kapendeza gharama ndogo tu..


Skafu hizi zinapatikana kwa bei tofauti ambazo ni rahisi kumudu mtu yeyote mwenye hali tofauti kiuchumi kulingana na mfuko wako.Unaweza kuzipata katika mitumba kwa bei ya shilingi mia tano. mpaka bei ya shilingi elfu tano na kupanda juu,vivyo hivyo katika  maduka ya nguo zipo kuanzika elfu tano na kuendelea.

Unaweza kuvaa scraf ya rangi moja na nguo yenye color nyingi,kwa Scarf zenye maua au animal print vaa na nguo ya rangi moja.


 

Nitumaini kila mwanamke anaweza kumudu hiyo gharama, scarf hizi Unaweza kuzitumia kichwani ,shingoni hata katika begi kwa kufunga pembeni na bado ukaonekana nadhifu.Kuna msemo unasema umaridadi uficha umaskni.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu