Enter your keyword

Culture for Life.

Saturday, December 17, 2016

6 Ways To Rock African Dresses & Prints



Katika miaka michache iliyopita, tumeona ongezeko kubwa la uvaazi wa mavazi ya kiasili ambapo  vazi hili lilionekana kama ni mavazi ya kiasili na watu waliokuwa wakivaa mavazi hayo zamani walionekana kama watu wasio jua mitindo ya kisasa.Lakini sasa hivi  Mavazi Haya yameshika kasi na yanavaliwa sana kwa sasa katika nchi nyingi za kiafrika na n'je ya Afrika.

vilevile kumekuwa na mfumuko mkubwa wa maduka ya online yanayojishughulusha na uuzaji wa mavazi haya ya asili na kupata soko kubwa sana.Mfano,H&M,Amazon,ASOS,Forever .Wamekuwa wakiuza  mf.Magauni ya vitenge,Leggings,pochi,Mikoba,Viremba na sketi.Kila mtu ana namna ambavyo anaweza kuvaa mavazi haya ya kiafrika na akawa na muonekano wa tofauti.

 njia ambazo zinaweza kukusadia katika mpangilio wa vazi la asili na nguo za mwambao mwingine.


– African Print Skirts

Unaweza kuvaa na max skirt na shati la kawaida au lenye vifungo ,na kuweza kutoka mtoko wa lunch au date outfit.

– Jumpsuits, Rompers and Coordinate Sets




– African Print Bottoms

Unaweza kuvaa hivi pia kwa skirt,juu unavaa top ya kitenge chini skirt ya rangi moja inayokaa vema katika mwili wako,au top ya kawaida na skirt ya kitenge.

short sleeve top with african print pencil skirt


Chiffon shirt with african print pencil skirt



– African Dresses

Gauni la kitenge huwa alimchukizi mtu ili mradi upate fundi mzuri na uchague mshono unaoendana na umbo lako. Shona gauni zuri litakalokupa muonekano mzur mbele za watu pia.



– Accessorize With African Designs

Kama sio mpenzi wa Vitu vy asili pia unaweza kuvaa mapambo ya kiafrika kuanzia kichwani mpaka miguuni,Hata kama sio sehemu zote lakini unaweza kubeba mkoba wa kitenge,hereni,viatu,kiremba na cheni.

Simple Short Dress with kitenge Flat shoes.


Kitenge Belt.









No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu