Jocktan Makeke anasema"Vijana wafuate kauli hii, YOUR CULTURE.. YOUR IDENTITY"
Jocktan Makeke |
Africa and Africans has succeeded in destroying our culture and traditional by accepting the effect of colonialism on the strong foundation that once held our fathers together...I believe that there is a supreme being and that as long as you believe in him no matter your religious difference or mode of worship things will work out for you, I PRAY GOD HELP AFRICA IN BELIEVING IN THEMSELVES ONE DAY.
Mahojiano kati ya Sinyatiblog na Mbunifu wa Mtindo yenye Asili ya kiafrika ,Jocktan Makeke.
Tareh 13/12/2016.kupitia facebookmessenger.
Sinyati blog:Je kuna msanii au kiongozi yeyote unayemvalisha kazi zako
Makeke: Hakuna msanii ninayemvalisha isipokuwa wanatumia tu
kwenye project zao.Mfano Mrisho mpoto,
pamoja na dullysykes kwenye video Mpya ijayo watatumia mavazi yangu.
Msanii Mrisho Mpoto kulia,kushoto ni Model wa kiume kutoka Makeke |
Sinyatiblog:Jamii imepokeaje kazi zako.
Makeke: Kwa sasa jamii ina elewa na kukubali Kazi zangu kwani nina chozungumza na kukionesha ndiyo
Maisha yao halisi.
Sinyatiblog:unaishauri nini serikali kuhusiana na vazi la
taifa.Kwani hata Tanzania ipo gizani katika vazi la Taifa.
Makeke:Giza ni utamaduni wa kisasa au wa kimagharibi ambao
kwa sasa umetawala sana afrika na dunia kwa ujumla , kwahiyo tunasema kwamba
licha ya kuwepo kwa giza nene lakini bado utamaduni wa mwafrika una nguvu na
unastahili kuigwa , Mitindo hii inaelezea MAISHA ya muafrika kabla ya ukoloni
na lengo kubwa ni kukumbushana au kuwakumbusa vijana wa sasa kule tulikotokea. Huwezi kupata kitu kimoja wakati
Hakuna umoja , kupata vazi la Taifa ,lazima wabunifu tuwe wamoja ndiyo tupate
idea moja
Sinyatiblog:Neno moja kwa vijana wenzako pia kwa wale watu wasiopenda mavazi ya asili una waambiaje?
Models : lewis & Agnes's
|
Makeke: Vijana
wafuate kauli hii, YOUR CULTURE.. YOUR IDENTITY huo ndiyo ushauri wangu.
Sinyatiblog:Kuna kitu gani cha tofauti katika mavazi yako ambacho
wabunifu wengine hawana.
Makeke:Kuna utofauti mkubwa sana wa Kazi zangu na Kazi za
wengine, kwasababu naamin kupitia creative + artistic minds, pia wengi wanafanya
style za kimagharibi BT mimi naangalia maisha halisi ya mwafrika kabla ya ukoloni.
Sinyatiblog:ASANTE KWA USHIRIKIANO.
JOCKTAN MAKEKE NI NANI? KATIKA TASNIA YA MITINDO.
JOCKTAN MAKEKE is the superhot uprising fashion artist from Tanzania based on pure
African design.
In doing his design Jocktan has inspired by the visibility
of nature and behavior of different fauna and laura, also he is using animal a skins , bones , pants
and waste materials such as water bottles, iron steel and plastics in making
design, sometimes he is using African local materials such as Khanga , Kitenge
and batik.
Fashion Awards
This year JOCKTAN MAKEKE nominated in four (4) different
fashion awards, such as:
Abraynz Style and Fashion Awards - ASFA as the best designer of the year ( east Africa),
East Africa gospel and fashion awards as the best East African fashion brand.
Swahili Fashion week awards , as the Jumia market innovative designer of the year
Instagram awards as the best designer of the year.
Jocktan Makeke+255752254221 jocktanwamakeke@gmail.com IG: @makeke_international @jocktanmakeke_official |
No comments:
Post a Comment