Sara anasema" Katika kila jambo ni vema kumuweka Mungu mbele kwani hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea just blv in God."
Sara Issa ni miongoni mwa warembo wanaonivutia katika ukurasa wangu wa facebook,Napenda sana mtu anayependeza,Dada huyu anajipenda sana na naweza sema ni mrembo,anajitambua na kujithamini.Kutokana hilo siku sita kufanya naye mahojiano kwa njia ya facebook massenger.Kama ifuatavyo: |
Jina:Sara Issa.
Umri:30
Mkazi:Arusha.
Uraia:Mtanzania
Mahusiano:Nimeolewa
{Mahojiano kati ya Sinyatiblog na Sara Issa siku ya tarehe 12/12/2016 kupitia facebook messenger}
SINYATIBLOG:Ni rangi gani unapendelea katika mavazi yako
SARA ISSA: Colour ninayopenda sana ni red ata kwangu rangi
kubwa iliyotawala ni red bt kwa mavazi napenda zile zinazonifanya kuwaka.
Napenda Rangi Nyekundu. |
SINYATIBLOG:Nini siri ya unadhifu wako.
SARA ISSA: Ok unadhifu wa mtu upo ndani ya mtu na huwez
kuiga bt unachoweza ni kujifunza.mm napendaga kuwa unique ck zote yaà n nina
wish siku moja niwe mtu fulani tofaut bt cjajua ndoto yangu itatimia vp napenda
kuwa tofaut cpend ,yaaan kufanana sehemu na mtu always napenda kuwa smart na
ugonjwa wangu kunukia kubeba handbag nzur .
"Napenda viatu virefu kwasababu mimi ni mfupi",Nikweli viatu virefu huongeza mvuto kwa mwanamke yeyote yule,nakumfanya aonekane smart. |
SINYATIBLOG: kitu
gani kinakuvutia upande wa vitu vya asili katika muonekano wako wa mavazi,
ambacho unapenda Zaidi.
SARA ISSA:Napenda kushona nguo za vitenge sana, napenda
kuvaaa viatu virefu sana coz mm ni mfupi pia napenda sana kushona magauni
mapana yawe ya kitenge au another material napenda nguo fupi pia bt hapa kwa
fupi,nyingi zinakuwa za mtumba au madukani.
"Napenda sana Pochi" |
SINYATIBLOG:Asante Sana Sara, swali la mwisho una ushauri
gani kwa watu wasiopenda vitu vya asili.
SARA ISSA:Vitu vya asili ni vizuri kuna mwingine anaweza
sema havipendi bt kumbe ata hivyo vya dukani hapendez ,kinachotakiwa ni kujijua
tu ww na mwil wako na nn unapendeza ukivaaa na unavutia hakuna mwenye mwil mbaya
ni vile kujielewa na kujikubali ww mwenyewe.
SINYATIBLOG:Sara una ushauri gani kwa dada ambao bado
hawajaolewa pia una waambia nini wanaume ambao husema nipo nipo kwanza huku wakiwa wako tayari katika mahusiano ya mda mrefu na wenzi wao.
MR &MRS..ALILOPANGA MUNGU MWANADAMU HAWEZI PANGUA. |
SARA ISSA:Ili la kuoa au kuolewa ni gumu bt ninachoweza
kuwashauri ni kwamba mwisho wa siku family matter.tutafanya yote tutafanya
starehe bt cku ya cku family inahitajika.kuna kipind kwa sisi wadada unataman
familia sana hivyo bila kufanya maamuz au kuchukua hatua hakuna kinachosaidia.na
kuhusu kukaaa sana ktk mahusiano sio ndio guarantee ya kuoa au kuolewa mpnz
japo mm alienioa nilikutana nae shule unaweza kaaa na mti cku chache akakuoa na
ukakaaa na mtu miaka kenda na hackuoe kinachotakiwa ni maamuz tu upendo na
uvumilivu and blv mi pesa sio kila kitu pesa zinatafutwa ata hao wenye pesa
wana historia nazo.kila kitu ni kumuweka Mungu mbele kwan hakuna jaribu liclo
na mlango wa kutokea just blv in God.
SARA ISSA:.kuna wadada wawil napenda da way
wanavyovaaa lulu na wolper sana bt cna hela tu shoga bt najitahid kumanage kile
ninachopata na kufanya nafc yangu iridhke napenda kupendeza napenda kuvaaa
vizuri
SINYATI BLOG:Thank kwa ushirikiano Sara,naamini kuna watu wamejifunza kitu kupitia haya mazungumzo
tuliyo yafanya siku ya leo.Nashukuruu sana.
Lulu katika vazi la vitenge. |
Wolper katika Max dress. |
No comments:
Post a Comment