Enter your keyword

Culture for Life.

Friday, December 23, 2016

African Print Shirt Style For Women.#20










Jumpusuit hii ni nzur kwa mtoko au kwa mtu mwenye usafiri,chagua rangi ya kitenge inayokupendeza hakika utapendeza.



Unaweza kuivaa katika mitindo tofauti ikiwa utaweka rastic sehemu ya round ya shingo ili kupata huo muonekano.



Pic moja na nusu ya kitenge inakutosha kwa mtindo huu.







Ilikuwa kama kasumba kuona wanaume ndiyo wanaweza kushona shati lakitenge lakini mwanamke pia waweza kushona shati la kitenge kwa mtindo uutakao na ukavalia suruali ,skirt na hata pensi.


Mtindo ya Mashati ya vitenge kwa dadas.



PIC SOURCE ,LAVIYE  ON LINE SHOP.

No comments:

Post a Comment

3 Bora Zangu

Inayotazamwa Sana

Jinsi Ya Kuufanikisha Mwaka 2017

Mpenzi msomaji wa Makala zangu kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaofuatilia Blog yangu,Naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya...

Watazamaji Wangu